Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

SOMA HII KAULI YA AUNT EZEKEL KUHUSU NDOA YA SHAMSA FORD,AFUNGUKA MAZITO

Image result for aunt ezekiel
Siku ya pili baada ya mwezi huu kuanza mwanadada muigizaji wa Bongo Movie Shamsa Ford alifunga ndoa namfanya biashara maarufu wa nguo afahamikae kama Chidi Mapenzi.
Shamsa Ford & Chidi Mapenzi katika harusi yao.
Ilikuwa ni furaha kwa kila mwanafamilia wa Bongo Movie kwakuwa ni jambo la kheri ambalo amelifanya mwenzao huyo.
Wapo ambao walitegemea huenda jambo hilo lingeanza kwa mwanadada Aunt Ezekiel kutokana na yeye kuwa katika mahusiano ya wazi kwa muda sasa na kupelekea hadi kupata mtoto na mpenzi wake Mose Iyobo ambaye ni dancer wa msanii Diamond Platnumz.
Image result for aunt ezekiel VS SHAMSA FORD
Aunt Ezekiel alipiga story na E-News ya EATV kuhusiana na yeye amejipanga vipi katika kulikamilisha hilo kama mwenzie Shamsa Ford.
“Ndoa sio maigizo, kwahiyo siwezi kufikia maamuzi hayo kwasababu eti Shamsa kaolewa. Ndoa ni kitu ambacho mtu anatakiwa kujipanga na kufikiria mara mbili kabla ya maamuzi ya mwisho, na nina imani Shamsa amefanya hivyo ndio maana kafikia maamuzi hayo. Kwa upande wangu tegemeeni tu ipo siku lakini kwasasa bado sijawaza kuhusu hilo.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
Powered by Blogger.
© Copyright Mtanzania forum
Back To Top