Kama kuna sehemu moja hapa duniani
ambayo unaweza kujiachilia na kuwa
wewe mwenyewe na kupata wanawake
wakupende, bila shaka hio sehemu ni
mtandaoni.
Hii ndio sababu kuu ya wanaume wengi
kujiingiza katika Internet ili kujaribu
mizare yao ya kuwavutia na
kuwashawishi wanawake sikuhizi.
Habari njema ni kwamba wanaume
wengi hufanikiwa katika azma yao.
Kuingia katika mitandao ya kijamii na
kujaribu kuwashawishi wanawake
inaweza kuwa jambo gumu kiasi na
wakati mwingine likawa ni rahisi.
Wengine hutumia fursa ya kutumia
mitandao kama mazoezi ya washawishi
mademu huku wengine wakifanikiwa
kupata wachumba ambao wanakuwa
nao katika maisha yao ya kawaida.
Well, kama hujawahi kutongoza
mwanamke online, ama unapata
vigumu kutongoza then hapo chini kuna
mbinu mwafaka ambayo itakuwezesha
wewe kumtongoza yeyote yule katika
mitandao ya kijamii kiurahisi.
1. Mtongoze
Kama maisha ya kawaida, kumtongoza
mwanamke akiwa online ni lazima
kama ibada. Itakuwa bora zaidi
ukichanganya mitindo spesho ya
kutongoza mara kwa mara, Mnyeshee
kwa kumsifu siku moja halafu unakuwa
mfidhuli siku nyingine. Jambo muhimu
hapa ni utambue kuwa lazima unafaa
kumfanya awe ametulia wakati
unapochat nayeye. Pia lazima awe
anajiskie yuko huru kabisa wakati
mnapoongea. Hii itahakikisha kuwa
anapenda na kufurahia kutaka kukujua
zaidi na labda siku moja atatamani
muweze kukutana ana kwa ana.
2. Tafuta maneno ya kwako
Usithubutu kutafuta mistari ya papo
kwa papo kwani kawaida haifaulu
katika mitandao. Kile unachohitajika
kufanya ni kuhakikisha umepanga
conversation yenu vizuri ili isiweze
kukwama mbeleni. Pia hakikisha kuwa
unaingiza maneno ambayo yataleta
hisia za kucheka na furaha. Hii
itamfanya amakinike zaidi na wewe.
3. Mfanye Acheke
Ok najua si kila mtu ana talanta ya
kumfanya mwanamke yeyote acheke
kama vile mzee Majuto lakini unafaa
angalau utumie maujanja uliozaliwa
nayo ili kumfanya mwanamke acheke.
Nasema hivi kwa sababu wanawake
wengi kawaida hupenda wanaume
wacheshi. Ukitumia mbinu hii
utamfanya akiwa offline ama online,
fikra zake zitakuwa kwako.
4. Usimwambie kila kitu chako
Ukiwa unachat na mwanamke online,
hakikisha humwambii kila kitu chako
kwa wakati mmoja. Hakikisha ya kuwa
kama mnachat unamfungulia moyo
wako pole pole. Hii itamfanya yeye
kuwa na shauku ya kutaka kukujua
zaidi. Ukiweka baadhi za siri zako
kikapuni, lazma ataingiwa na tamaa ya
maswali hivyo kutaka kuongea na
wewe zaidi na zaidi.
5. Kutana na yeye uso kwa uso.
Mwisho wa siku -baada ya kumtongoza
na kumjua nje na ndani -unafaa
kumuuliza kama atatoka out na wewe.
Kumbuka hii ni level nyingine kubwa
sana katika chat ya online hivyo kabla
hujamuagiza mukutane uso kwa uso,
lazima ujipange vilivyo.
ambayo unaweza kujiachilia na kuwa
wewe mwenyewe na kupata wanawake
wakupende, bila shaka hio sehemu ni
mtandaoni.
Hii ndio sababu kuu ya wanaume wengi
kujiingiza katika Internet ili kujaribu
mizare yao ya kuwavutia na
kuwashawishi wanawake sikuhizi.
Habari njema ni kwamba wanaume
wengi hufanikiwa katika azma yao.
Kuingia katika mitandao ya kijamii na
kujaribu kuwashawishi wanawake
inaweza kuwa jambo gumu kiasi na
wakati mwingine likawa ni rahisi.
Wengine hutumia fursa ya kutumia
mitandao kama mazoezi ya washawishi
mademu huku wengine wakifanikiwa
kupata wachumba ambao wanakuwa
nao katika maisha yao ya kawaida.
Well, kama hujawahi kutongoza
mwanamke online, ama unapata
vigumu kutongoza then hapo chini kuna
mbinu mwafaka ambayo itakuwezesha
wewe kumtongoza yeyote yule katika
mitandao ya kijamii kiurahisi.
1. Mtongoze
Kama maisha ya kawaida, kumtongoza
mwanamke akiwa online ni lazima
kama ibada. Itakuwa bora zaidi
ukichanganya mitindo spesho ya
kutongoza mara kwa mara, Mnyeshee
kwa kumsifu siku moja halafu unakuwa
mfidhuli siku nyingine. Jambo muhimu
hapa ni utambue kuwa lazima unafaa
kumfanya awe ametulia wakati
unapochat nayeye. Pia lazima awe
anajiskie yuko huru kabisa wakati
mnapoongea. Hii itahakikisha kuwa
anapenda na kufurahia kutaka kukujua
zaidi na labda siku moja atatamani
muweze kukutana ana kwa ana.
2. Tafuta maneno ya kwako
Usithubutu kutafuta mistari ya papo
kwa papo kwani kawaida haifaulu
katika mitandao. Kile unachohitajika
kufanya ni kuhakikisha umepanga
conversation yenu vizuri ili isiweze
kukwama mbeleni. Pia hakikisha kuwa
unaingiza maneno ambayo yataleta
hisia za kucheka na furaha. Hii
itamfanya amakinike zaidi na wewe.
3. Mfanye Acheke
Ok najua si kila mtu ana talanta ya
kumfanya mwanamke yeyote acheke
kama vile mzee Majuto lakini unafaa
angalau utumie maujanja uliozaliwa
nayo ili kumfanya mwanamke acheke.
Nasema hivi kwa sababu wanawake
wengi kawaida hupenda wanaume
wacheshi. Ukitumia mbinu hii
utamfanya akiwa offline ama online,
fikra zake zitakuwa kwako.
4. Usimwambie kila kitu chako
Ukiwa unachat na mwanamke online,
hakikisha humwambii kila kitu chako
kwa wakati mmoja. Hakikisha ya kuwa
kama mnachat unamfungulia moyo
wako pole pole. Hii itamfanya yeye
kuwa na shauku ya kutaka kukujua
zaidi. Ukiweka baadhi za siri zako
kikapuni, lazma ataingiwa na tamaa ya
maswali hivyo kutaka kuongea na
wewe zaidi na zaidi.
5. Kutana na yeye uso kwa uso.
Mwisho wa siku -baada ya kumtongoza
na kumjua nje na ndani -unafaa
kumuuliza kama atatoka out na wewe.
Kumbuka hii ni level nyingine kubwa
sana katika chat ya online hivyo kabla
hujamuagiza mukutane uso kwa uso,
lazima ujipange vilivyo.
CREDITS TO: NESIMAPENZI
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI